TEZI DUME NA TIBA YAKE - KIDEKAFITNESS

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 16 June 2021

TEZI DUME NA TIBA YAKE

 

Ø KUTUMIA LYCOPENE

Lycopene ni kirutubisho ambacho kinapatikana kwenye nyanya, tikiti maji kinasaidia sana kuzalisha seli mpya ambazo zinenda kuzuia kansa kwenye tezi dume na lycopene inatoa ulinzi mzdhubuti kwenye mfumo wa uzazi.




Ø SAMAKI NA MAFUTA YA SAMAKI

Samaki na mafuta ya samaki yanasaidia sana katika kupunguza hatari ya kansa ya tezi dume kwa maana samaki na mafuta ya samaki yanakuwa na omega 3 fatty acid ambayo ni afya katika mfumo wa uzazi.



Ø VITAMINI C & D

Matunda jamii ya machungwa yana vitamin C ambayo ni virutubisho muhimu sana kwenye afya ya uzazi.

Vitamin  C inafanya kazi ya kulinda afya ya uzazi na kuzuia tezi dume kupata kansa

 Ø  MADINI YA ZINC

Madini ya zinc ndiyo hasa yanaratibu na kufanya mfumo wa uzazi wa mwanaume uwe katika hali nzuri, ni madini ambayo huwa yanatoa ulinzi na kuratibu shughuli zote za hormone ya kiume na yakipungua tu ndio mwanzo wa hormone kuanza kuwa chini


UKIKOSA HAYA BASI YAFUATAYO YANAKUPATA



SULUHISHO 

MADINI YA ZINC, MAGNESIUM, SELENIUM, VITAMIN C,D, B6, B12

MAFUTA YA SAMAKI,

KULISHA SELI

NIPIGIE 0768576851 KUJIPATIA SULUHISHO

1 comment:

Post Bottom Ad

Pages