BIDHAA BORA YA KULINDA UKUAJI WA TEZI DUME NA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME. - KIDEKAFITNESS

Breaking

Post Top Ad

Tuesday 12 April 2022

BIDHAA BORA YA KULINDA UKUAJI WA TEZI DUME NA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.

 BIDHAA YA KULINDA UKUAJI WA TEZI DUME NA KUBORESHA NGUVU ZA KIUME.



 Je wafahamu kadri umri unavyoongezeka kwa mwanaume, kasi ya kukua au kutanuka kwa tezi dume pia huongeza!?


Ndiyo, na hii imekuwa ni changamoto kubwa sana kwa wanaume wengi hivi sasa, hali ambayo hupelekea kuwa na ongezeko la matatizo ya nguvu za kiume, kushindwa kuzuia haja ndogo na hatimaye kupata saratani ya Tezi Dume.


Kutokana na changamoto hizo, Forever Living Products, tumeandaa virutubisho hivi 


 VITOLIZE FOR MEN, ALOEVERA GEL ,MULTIMACA, ARG PLUS & NATURE MIN.


ambavyo ni virutubisho bora sana katiki kuthibiti ukuaji wa tezi dume,  utendaji kazi wa kibofu, ku relax tezi dume na kuboresha nguvu za kiume.


FAIDA ZAKE:


1: Huthibiti kasi ya ukuaji na utanukaji wa tezi dume na kuimarisha kinga dhidi ya saratani ya tezi dume.

2.Huongeza hamu ya mapenzi  stamina na nguvu wakati wa tendo na baada ya tendo.

3.Inasaidia kuondoa depression - (msongo wa Mawazo)

4.Inarutubisha mayai.

5.Inaongeza idadi ya mbegu za kiume (sperm count) ,na uwezo wa mbegu kuogelea vizuri (mobility).

6.Inabalance kiwango cha chuma Kwenye damu.

7.Zinasaidia kupromote matumizi ya glucose Kwenye damu kubadilishwa kuwa nguvu na si kugeuzwa kuwa mafuta.

8:  Ni bidhaa bora ambayo husaidia katika kuondoa changamoto ya mwanaume kuwa kufika kileleni mapema na kutorudia tendo.

9: Huboresha misuli ya usafirishaji mbegu ya uume na kuifanya kuwa imara hasa kwa walioathirika na changamoto ya kujichua kwa mda mrefu.

10: Huboresha tatizo la kusinyaa kwa uume na kutorudia tendo.

11: Husaidia kuondoa athari za kujichua kwa mda mrefu na kukufanya kuwa imara zaidi.

12. Huboresha mfumo wa mzunguko wa damu na kuondoa mafuta mabaya katika mishipa ya damu.

13. Husaidia kuongeza uzalishaji seli katika tezi hivyo huthibiti saratani ya tezi.


Hivyo ni bidhaa bora kwa  na afya ya uzazi na Tezi Dume.


KUNA OFFA KUBWA SANA YA PUNGUZO LA BEI KAMA UTAKUWA UNAHITAJI KUJIWEKA VIZURI

Tunapatikana, Dar es salaam.

Mawasiliano 0768576852

Ila unaweza ipata huduma popote Tanzania.



HAUTAJUTIA KUTUMIA PACKAGE HII NAKUHAKIKISHIA, 


KARIBU SANA UANZE KUZITUMIA LEO

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages