NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA NJIA YA MTANDAO - KIDEKAFITNESS

Breaking

Post Top Ad

Wednesday 1 February 2023

NAMNA YA KUTENGENEZA PESA KWA NJIA YA MTANDAO

 


IJUE BIASHARA YA MTANDAO NA KAMPUNI YA ALOE VERA.

Inawezekana umeshawahi kuisikia ama ndio mara yako ya kwanza basi nataka nkupe nondo uweze kuijua biashara ya mtandao (network marketing)

Network marketinging au biashara ya mtandao ni nini?

Huu ni mfumo ambao umekuwa ukiajiri watu wengi sana katika nchi zilizoendelea, kwenye nchi zetu ndio kwanza unafika, kwa sababu nchi zetu bado giza ni kubwa tunaamini kwamba anayekuwa wa kwanza kwenye hii biashara basi ndio atafanikiwa (inawezekana kama ndio wewe leo hii ukawa wa kwanza kuletewa wazo hili kwa mara ya kwanza ungesema huu ni utapeli). Wanaofanikiwa kwenye hii biashara ni wale wanao elewa biashara hii inafanyaje kazi? Nilipata bahati ya kuitwa kwenye kupewa mafunzo kadhaa ya biashara za network marketing namna ya utendaji kwenye kila kampuni ni tofauti kwa sehemu zote ambazo nimewahi kufika.

Ubora wa network marketing upo sehemu gani?

Kitu ambacho unapaswa kukijua ni kuwa kabla haujaingia kwenye hii biashara tambua kwamba wewe ndio fursa, kampuni haitakulipa kama utatoa pesa yako kufanya kitu ambacho haukijui, hizi ni kama biashara za uwakala mkuu haujafanya muamala basi no commisheni au gawio, wengi tunafeli tukiamini kuwa kampuni ndio ambayo itakulipa (nilikutana na mmoja akaniambia ukibalance mzani ukaleta watu wawili basi kampuni itakulipa kiasi cha dola 200 ambayo ni kama laki 4 na ushee, what next na hao wakileta watu bado utalipwa na kampuni asilimia %  kadhaa )

Hii mimi niliikataa, na hii ndio inafanya biashara hizi zionekane za kitapeli kwa sababu wanaotakiwa kuwa wasaidizi wetu ni watu ambao hawaelewi namna gani tunafanya hii biashara, katika magumu na mabaya lazima utapata ubora wa kitu na mimi ndio niliona ubora wa hii biashara ya mtandao katika dhana nzima ya utendaji kazi ndio maana kuna watu wanafanikiwa na kuna watu wanafeli pakubwa sana. Nataka nikupeleke uuone ubora ambao mimi niliuona.

Wapi unapaswa kuanzia?

Inawezekana unatamani kufikia lengo flani katika maisha yako ila nikuombe tu usiendeshwe na hisia embu tuliza kichwa kidogo nikupe mwanzo wa wapi unapaswa kuanzia.

Mfumo ndio utakupa mwanga ni namna gani unapaswa kufanya hii biashara na ni kampuni gani unapaswa kujikita nayo, mimi nilikataa kuifanya hii biashara kwa baadhi ya kampuni sababu zilikuwa ni kama ifuatavyo

1.      Ukomo wa watu ambao unaweza kuwa nao kwenye team, kuna kampuni ambazo wanakwambia ukifikisha watu wawili ndio unalipwa, je hao watu wawili utawatoa wapi chap chap, kwa nini ulipwe kwa watu wawili ilhali kuna mtu mmoja kakubali kujiunga na amelipia kila kitu? Kwa nini mwisho uwe watu 8, 12 nk baada ya hapo unapaswa kufungua account mpya ya jina jingine je hapo utakuwa unajenge brand yako ama unajenga brandi ya kampuni? Kama ni wewe kwa nini wasikuruhusu ukawa na idadi ya watu unaowataka wewe na mabao unaona kabisa hawa wataweza kunisukuma na kunifikisha pazuri kwenye biashara yangu, kuna watu wana team ya watu mpaka 10000 kwenye system yao, Hapa ndio unapaswa kuwa makini na hizi biashara na mifumo yake, kuna mifumo tu inakuonyesha kwamba hizi kampuni ni za muda mfupi na zinahitaji watu wengi ili mtokeo yawe ya haraka zaidi. Mfumo pia wa malipo na namna utaweza kuingiza pesa bila hata kumwingiza mtu ndio ubora mwingine unapaswa kuuzingatia.

2.      Bidhaa ambazo zinazalishwa na kampuni ni swala nyeti mno, wakati nipo katika mawazo ni kampuni gani napaswa kujiunga nayo nikakutana na mama mmoja anaongea na simu kwamba mgonjwa tumempeleka kwa mtaalamu wa tiba za asili tumetumia laki 3 na hamna dalili zozote za kupona, hii ndio iliniondolea dhana ya kwamba mbona kampuni hii ina bidhaa bei kubwa hivi, kitu ambacho inawezekana hukijui ni kwamba hautakuwa na uwezo wa kuuza hata dawa ya meno ya 10 elfu kama haujui ni wakati gani unapswa kuuza hiyoo dawa ya meno na wapi unapaswa kuuza, kuna watu wanasafishwa meno kila mwezi kwa tsh 45000 je unahisi watashindwa kutumia dawa yako kama kweli inatibu? Kuna watu wametumia tiba miaka 5,7, 10 lakini hawaponi je unahisi watashindwa kulipia laki 3 au laki 4 ili wapone? Ni rahisi sana kuuza hizi bidhaa za afya na kuna mfumo rahisi tu wa kuwapata hawa ambao wana matatizo na ukaweza kuwasaidia, swali la msingi ni kwamba je hiyoo kampunia ambayo wewe upo inatoa bidhaa bora za kumsaidia mtu kupona? Ukimsaidia mtu kupona basi ujue atakuletea watu wengi tu amabo watahitaji huduma yako na hapa ndio tunasema brand yako inaanza kukua.

Wakati natamani kuanza kuifanya nilimwuliza rafiki yangu sasa tunafanyaje ili tuifanye hii biashara akaniambia itabidi utafute office za watu tukawape elimu ya umuhimu wa hizi bidhaa nikakumbuka wale wauza masufuria na mahotpot waliokuwa wanakuja shule, nkasema nooh, hii sifanyi kabisaa, kwenye nchi zetu hatujazoea daktari kukufuata nyumbani, sisi mpaka mambo yawe magumu ndio tuwe haja ya kuimarisha afya zetu, baada ya muda ikapatikana njia rahisi zaidi ya kutumia mitandao ambayo tuko nayo na ukaweza kutenegeneza kiasi kizuri tu cha pesa. Kwa mwaka milioni 10 ni kubwa sana na pia unaweza ukatengeneza kubwa zaidi ya hiyoo

Kama utakuwa umeelewa na unatamani kufanya biashara ya mtandao mimi nafanya na kampuni ya ALOE VERA wengi wanaita foreverliving product Nitakusaidia kuweza kujua tu namna unaweza kuifanya kwa urahisi hata kama umeajiriwa utaweza kutenga muda wako wa ziada na ni rahisi tu kuwasiliana na watu ambao wanashida za kiafya na ukawapa vitu ambavyo wanastahili kuvipata na wakapona, NJOO NIKUPE MWONGOZO WA NAMNA TUNAIFANYA NAMBA ZA SIMU 0620801857 watsup bonyeza hapa https://alvo.chat/ixs


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad

Pages